Jumatatu, 6 Juni 2016

MFUNGO WA RAMADHAN UNAANZA KESHO-MUFTI



Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber amesema 30 ya mwezi shaban inamalizika leo jumatatu juni 6 2016 hivyo kesho jumanne ndiyo siku rasmi kwa waislaam kuanza kipindi cha toba,mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan.
Kwa wale ambao wanafuata mwandamo wa mwezi kutokana na kuonekana kwenye mataifa mengine,wameanza mfungo leo baada ya taarifa kuonesha kwamba mwezi umeonekana Uturuki;Saudi na Pia Uingereza.
Umoja wa falme za kiarabau,Jordan na Palestinia pia wametangaza kuwa wameona mwezi kasoro OMAN tu.

Hakuna maoni:
Write maoni