Mkali wa wimbo ‘Moyo Mashine’ Ben Pol amesema kwa sasa yupo tayari
kusaini kwenye label yeyote ambayo itakuwa na nia ya kumpeleka mbali
zaidi kimuziki.
Akiongea na Bongo5 wiki hii, Ben Pol amesema label ambayo anahitaji
ni ile ambayo itamtoa alipo sasa na kumpeleka katika level nyingine.
“Mimi sasa hivi nakaribisha proposal za management, kama management
au label inataka kufanya kazi na Ben Pol iniambie itanifanyia kitu gani,
kwa sababu kama kampuni sasa hivi inakuja inaniambia itapeleka nyimbo
zangu MTV au wapi sasa hivi mimi nyimbo zangu zinachezwa huko na
nilipeleka mwenyewe, hiyo management hainifai kwa sababu hivyo
nimeshafanya mwenyewe. Management ikinionyesha kitu ambacho siwezi
kufanya kwa sasa tunaweza fanyakazi,”
Bep Pol alisema kwa sasa hana management lakini ana watu ambao
anafanya nao kazi kwa ukaribu zaidi ambao pia humshauri mambo mbalimbali
kuhusu muziki wake.
Jumamosi, 18 Juni 2016
BEN PAUL, yupo tayari kuingia lebal
Similar Posts
Previous
Nahreel, hana tatizo na Weusi
Nahreel, hana tatizo na Weusi
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Write maoni