Ijumaa, 17 Juni 2016

Euro 2016: Shabiki wa Ireland Kaskazini, Afia uwanjani


Robert Rainey, known as Archie, is understood to have suffered a heart attack

Shabiki wa Ireland Kaskazini, amefia uwanjani wakati akishuhudia timu yake ikimgonga Ukraine kwenye mashindano ya Mpira kwa nchi za Ulaya.

Robert Rainey ama kwa jina lingine Archie, alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo ambao ndio umechukua uhai wake akiangalia mechi hiyo kwenye uwanja wa Stade de Lyon.

Familia ya Archie, imesema Robert amefariki wakati anafanya kile anachokipenda kuliko vyote.

Ireland Kaskazini iliibabua Ukraine magoli mawili bila majibu magoli yaliyofungwa na

Hakuna maoni:
Write maoni