Ijumaa, 17 Juni 2016

UJERUMANI NA POLAND, hamna mbabe


http://static.sportskeeda.com/wp-content/uploads/2016/06/germany-vs-poland-prediction-1466065853-800.jpg

 Mechi kati ya Ujerumani na Poland, imekosa mbabe baada ya timu hizo kutoshana nguvu hadi dakika tisini zilipokwisha.

Sifuri kwa Sifuri ndio matokeo ya mwisho yalipatikana kwenye mtanange huu ambao ulikuwa kivutio kwa nchi hizi mbili kwa sababu ya Historia yao huko nyuma.

Michuano hii inaendelea leo hii.

Hakuna maoni:
Write maoni