Jumamosi, 4 Juni 2016

R.I.P MUHAMAD ALI


Habari zilizotufikia kutoka vyanzo vyetu, Gwiji wa Masumbwi(74) wa Marekani Muhammad Ali amefariki muda mfupi chanzo cha kifo chake ni ugonjwa wa mapafu.alijulikana kwa jina la 'The greatest of all'

Hakuna maoni:
Write maoni