Shirikisho la soka la Nigeria
linasema kuwa mkurugenzi wa kiufundi ambaye pia alikuwa kocha wa zamani
wa timu ya taifa Amodu Shuaibu, ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 58.
Nigeria ingali inaomboleza kifo cha mwanasoka maarufu, na aliyekuwa kocha, Stephen Keshi, aliyeaga dunia wiki hii.
Hakuna maoni:
Write maoni