Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy
amesema kuwa mtambo wa kuzima simu bandia unaendelea na kazi kuhakikisha
kuwa hata simu ambazo hazikuwa hewani zitakapowashwa hazitafanya.
Alisema kuwa simu feki ambazo hazikuwa hewani usiku wa kuamkia juzi
zitakapowasha hazitafanya kazi kwa kuwa mtambo wa kuzima Imei bandia
unaendelea kuhakiki simu hizo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy
amesema jana kuwa mtambo wa kuzima simu bandia unaendelea na kazi
kuhakikisha kuwa hata simu ambazo hazikuwa hewani zitakapowashwa
hazitafanya.
“Kazi ya kuzima simu hizo ilianza usiku kumkia juzi saa sita usiku
na kila kampuni ya mtandao wa simu ilipaswa kuzima simu za wateja wake
ambazo ni feki na kazi ya mtambo ni kuhakikisha simu iliyozimwa
inapowekewa kadi ya mtandao mwingine haifanyi kazi na kuhakikisha simu
zote feki zitakazoingia nchini hazifanyi kazi,” amesema Mungy.
Baadhi ya wananchi waliozimiwa simu wameilalamikia Serikali kwa
kuwasababishia hasara kwa madai ya kutokuwa makini katika kudhibiti
uingizwaji wa bidhaa feki.
Pendo Mpomelo, mkazi wa Kimara jijini Dar es Salaam alisema simu yake ilikosa mawasiliano kuanzia saa saba usiku
Jumamosi, 18 Juni 2016
TCRA wanena haya kwenye kazi ya kuzima simu
Similar Posts
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Write maoni