Simba SC imemsajilki kiungo Mohamed Ibrahim kutoka klabu ya Mtibwa
Sugar ya Morogoro kwa mkataba wa miaka miwili kukitumikia kikosi cha
Msimbazi huku ada ya uhamisho wake ikiachwa kuwa siri.
Mohamed Ibrahim anakuwa mchezaji wan ne kusajiliwa Simba msimu huu
akitanguliwa na nyota mwingine kutoka Mtibwa Sugar Muzamir Yassin nja
wachezaji wengine wawili kutoka Mwadui FC Jamal Mnyate kutoka na Emanuel
Semwanza.
Simba bado inamnyatia Shiza Kichuya mchezaji mwingine kutoka Mtibwa
Sugar ambaye bado mazungumzo ya kuinasa saini yake yanaendelea.
Endapo Kichuya atatua Simba atakuwa ni mchezaji wa tatu kutoka Mtibwa
kuhamia Simba msimu huu wakati Mtibwa itakuwa imeuza wachezaji wanne
kwenda kwenye vilabu vya Simba na Yanga baada ya Andrew Vicent
kusajiliwa Yanga mapema mwezi huu.
Jumamosi, 18 Juni 2016
SIMBA YAOPOA MASHINE TOKA MTIMBWA
Similar Posts
Previous
Next Post
Next Post
About Unknown
Author Description here.. Nulla sagittis convallis. Curabitur consequat. Quisque metus enim, venenatis fermentum, mollis in, porta et, nibh. Duis vulputate elit in elit. Mauris dictum libero id justo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Write maoni