Shirikisho la Soka Afrika (CAF),
limepitisha majina ya wachezaji wanne wapya wa Yanga, kipa Benno David
Kakolanya, Hassan Hamisi Ramadhan ‘Kessy’, Vincent Andrew Chikupe na
Juma Hassan Mahadhi kucheza Kombe la Shirikisho.
Yanga kwa sasa wameweka kambi nchini Uturuki pamoja na nyota hao wanne wakiwa tayari wameshaingia kwenye mipango ya Kocha Mkuu Mholanzi Hans Van De Pluijm akisaidiwa na Juma Mwambusi.
Hakuna maoni:
Write maoni